lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kwa jins mhe rais alivyofanya mazungumzo na kituo cha democracia tcd na wakakubaliana kuahirisha zowezi la kupiga kura ya maoni na badae mh rais akaja kubalisha mawazo gafla ya kuamua zoezi la upigaji kura ya maoni liendelee lazima kuna baadhi ya wana ccm wenzake wasiomtakia mema kabisa. Wameshindwa kweli kuona mazigira yalivyo magumu ya kuandaa upigagi kura ya maoni kweli? Wameshindwa kuona Muda ulibaki ni mdogo na hautoshi kabisa kuandaa zoezi la kufanyika kura ya maoni.kwani tukiahirisha zowezi la upigaji kura ya maoni ya katiba pendekezwa tunapungukiwa na nini?tutapoteza nini?
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie
Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie