Ahhaahah haya shukran Rai
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmeanza yaani nimewakumbusha aisee
maswali ni mengi kuliko majibu
maswali ni mengi kuliko majibu
Aisee nyir nooma siwawezi kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yule mtu khaa sijui anapataga wapi picha. Btw hiyo bidhaa pendwa ni ipi[emoji13]weka picha alikua anaipatia Tyta
ungetaka hata picha yako anakuletea
aliniacha hoi alipoleleta picha za pale temeke kwenye bidhaa pendwa maswali yalikua mengi kuliko majibu
hili swali ungeniuliza usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yule mtu khaa sijui anapataga wapi picha. Btw hiyo bidhaa pendwa ni ipi[emoji13]
Ili unijibu kwa kutumia akili za usiku?hili swali ungeniuliza usiku
sister mi nakuheshimu sana sitaki kujitia aibuIli unijibu kwa kutumia akili za usiku?
Si ndo hapo nakushangaa unaposema ningekuuliza usikusister mi nakuheshimu sana sitaki kujitia aibu
Wamehamia ktk magroup ya whatsappKuna hawa wanaJF walikua wana vituko sana, yaani kipindi cha nyuma kulizuka katabia ukitundika tu nyuzi utaona mtu anakuambia weka picha, hata saa zingine huo uzi hauhitaji picha utaombwa picha.
Nilikua nikicheka sana, maana wengine waligadhabika wakiona wameombwa picha, wengine nao wakaamua wawe wanaweka tu picha ili mradi kumridhisha, tangopori nadhani.
Yaani yeye alikua akitaka picha tu, wengine walimuambia we ukitaka picha nenda instagram picha kule zimejaa utaangalia mpaka utachoka hahaha, kulikua na vituko sana enzi hizo tunashukuru hako ka kero kalipotea nadhani [emoji23][emoji23]
Tusichukulie kila kitu serious bana maisha mafupi haya.