Kuna wana JF wamepotea au wamebadili ID?

Kuna wana JF wamepotea au wamebadili ID?

Tyta hakuna picha iliuliziwa humu akashindwa kuileta, kila picha inayouliziwa na wazee wa Weka Picha, jamaa alijibu bila shida.

Mpaka jamaa walishindwa wenyewe!
Nimecheka hatariii aiseee
 
weka picha alikua anaipatia Tyta
ungetaka hata picha yako anakuletea

aliniacha hoi alipoleleta picha za pale temeke kwenye bidhaa pendwa maswali yalikua mengi kuliko majibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani yule mtu khaa sijui anapataga wapi picha. Btw hiyo bidhaa pendwa ni ipi[emoji13]
 
Kuna hawa wanaJF walikua wana vituko sana, yaani kipindi cha nyuma kulizuka katabia ukitundika tu nyuzi utaona mtu anakuambia weka picha, hata saa zingine huo uzi hauhitaji picha utaombwa picha.

Nilikua nikicheka sana, maana wengine waligadhabika wakiona wameombwa picha, wengine nao wakaamua wawe wanaweka tu picha ili mradi kumridhisha, tangopori nadhani.

Yaani yeye alikua akitaka picha tu, wengine walimuambia we ukitaka picha nenda instagram picha kule zimejaa utaangalia mpaka utachoka hahaha, kulikua na vituko sana enzi hizo tunashukuru hako ka kero kalipotea nadhani [emoji23][emoji23]

Tusichukulie kila kitu serious bana maisha mafupi haya.
Wamehamia ktk magroup ya whatsapp
 
Back
Top Bottom