Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya.
Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu,
Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana, Labda naweza kuwatajia baadhi ya nyimbo zake kali ambazo nazikubali kutoka kwake.
1. Adia
2. N'ge
3. Alphosine
4. Fely
5. Lusa
6. Icole
Zitafuteni Mkuu ni nzuri kwa kuzisikiliza hazichoshi.