MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Kuangalia ujinga wa MTU... Nacho kipaji.Ungekuwa humuelewi usingeandika kuhusu yeye...
Duuuhh sio kwa ukauzu huuUngekuwa humuelewi usingeandika kuhusu yeye...
What a man does for a living is none of my business! ~ Don Corleone
Kati ya wewe mwerevu na yeye mjinga nani ni popular na ametoboa walau...???Kuangalia ujinga wa MTU... Nacho kipaji.
Ngoja waje team yake.Tanzania anyechekesha labda Joti tu. Wengine wala siwaelewagi. Nashangaaga eti Idriss nae comedian.
Mcpilipili ni mc tu sherehe labda.
Me naona mjinga Mimi.Kati ya wewe mwerevu na yeye mjinga nani ni popular na ametoboa walau...???
Thread Closed..Me naona mjinga Mimi.
Thread Closed..
Joti ni habari nyingine.Tanzania anyechekesha labda Joti tu. Wengine wala siwaelewagi. Nashangaaga eti Idriss nae comedian.
Mcpilipili ni mc tu wa sherehe labda.
Kwako uliyeanzisha hii uziKwako au......?