Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
405
Reaction score
279
Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.
 
Simply jamaa ni MC, hata maisha kayapatia akiwa MC ila hiko cheo kipya cha ukomediani anachojipachika baada ya kufanikiwa anajidanganya.
 
Tuko Aquaria period.
Wajinga wana nguvu kuliko wenye hekima, wapumbavu wana nguvu, acha dunia ijizunngushe, Nuru inakuja
 
Back
Top Bottom