Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji15][emoji15][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]uchafu mtupuWana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.
Njoo ulete mrejeshoNaona anapigaga makelele mgogo yule, hivi ile ndoa yake bado?
True datComedian bongo ni joti tuu
unasemaje atafute kazi nyingine wakati anaishi kwa hicho kitu? Angekuwa hana chochcote kama unavyodai basi asingepata hata senti tano. Ali mradi anapata kipato basi ina maana kuna watu wanaompenda.. Na wewe katafute commedian unayempenda. Huyo achana naye.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inabidi uwe na kipaji haswa....Kuwachekesha watanzania kwenye muhula huu wa John ni kazi ngumu sana.
Hiyo profile pict... Nmependa Rangi zake.ilimradi havunji sharia..mwache afanye anayotaka
Kabisa.... hata mie huwa simwelewagi tuWana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.