Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.
[emoji15][emoji15][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]uchafu mtupu
 
Kabisaaa
unasemaje atafute kazi nyingine wakati anaishi kwa hicho kitu? Angekuwa hana chochcote kama unavyodai basi asingepata hata senti tano. Ali mradi anapata kipato basi ina maana kuna watu wanaompenda.. Na wewe katafute commedian unayempenda. Huyo achana naye.
 
Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.
Kabisa.... hata mie huwa simwelewagi tu
 
Wale wote wanao jichekesha over ndio wanamuelewa
 
Back
Top Bottom