Yaan ni balaamh wanajf nimewanyanyulia mikono na miguu juu,si kwa koment hizi
Kuna yule wa Simba pia nae niliwahi kusikia anataka kutangaza nia.Kwani si nilisikia wema anachumbiwa na Wakuvanga wa Orijino Komedi !!
Huyo Samata na fedha zooote asijenge choo chake, akatumie choo cha jiji? Mmmmh!Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
Hamorappa kiboko ya mabishooWema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..
Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
Me nakujaa SI umeinua miguu mwenyewemh wanajf nimewanyanyulia mikono na miguu juu,si kwa koment hizi
don't dare..............mana hutoisha kujutiaMe nakujaa SI umeinua miguu mwenyewe
hahaa kama ulikuepo...........na deko za bei yote sponsored by madame aghaaAtabebishwa na kile kisauti cha madame
Mungu anawaonen jomonHilo jamvi la wageni ndilo alalie Golden Boy? Au sijaelewa mada!
Umesikia new penzi in town, mwenyekiti wa Chama na wema, duh sijui tu kuweka audio kwa kisauti kile viti maalum vitamhusu, mwenyekiti anaongea amelegea kama namuona ha ha ha haAtabebishwa na kile kisauti cha madame
Mmh penzi halichagui lakini hapa ninaona mwenyekiti atafanya siri, si mume wa mtu yule?Umesikia new penzi in town, mwenyekiti wa Chama na wema, duh sijui tu kuweka audio kwa kisauti kile viti maalum vitamhusu, mwenyekiti anaongea amelegea kama namuona ha ha ha ha
Hii ndoa itafungwa uwanja wa taifa na khanga zitachapishwa zenye sura ya maharusi