Kuna wanaoomba ndoa kati ya Wema Sepetu na Mbwana Samatta

Kuna wanaoomba ndoa kati ya Wema Sepetu na Mbwana Samatta

Msitutafutie balaa nyie bongo movie....Msije kumfilisi Our champion Boy kama mlivyofanya kwa Idris Sultan
 
Kwani si nilisikia wema anachumbiwa na Wakuvanga wa Orijino Komedi !!
 
Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
Huyo Samata na fedha zooote asijenge choo chake, akatumie choo cha jiji? Mmmmh!
 
Samata na wema tena ?

Yaani kijana kashindwa kutafuta demu mbeligiji huko Brussels aje apige yule "mutu"

Labda kama ni one night stand lakini sio kuchonga mzinga kabisa.

Aisee khaaaa![emoji15]
 
Umesikia new penzi in town, mwenyekiti wa Chama na wema, duh sijui tu kuweka audio kwa kisauti kile viti maalum vitamhusu, mwenyekiti anaongea amelegea kama namuona ha ha ha ha
Mmh penzi halichagui lakini hapa ninaona mwenyekiti atafanya siri, si mume wa mtu yule?
 
Back
Top Bottom