Kuna wanaoomba ndoa kati ya Wema Sepetu na Mbwana Samatta

Wema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..

Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
Hahahaha masikini hamorapa
 
Sikiliza tape ya muheshimiwa flani duh! Aibu sana!
 
Siri gani tena audio ipo whatsapp, anamuomba wema msamaha, kamuita aende kilimanjaro waongee jmosi mchana jpili jioni arudi.
Sijui kuattach ningeweka usikie ubuyu
Mange anatapika ya mwenyekiti wa CCM huko hakufai.
 
Kwa yeyote alieangalia shilawadu Ijumaa ilivyo expose sex life ya kina Jinikabula,Nisha na Trisha ambao ni type ya Wema sepenga.

Hawa wasichana maarufu na wanaotafuta umaarufu instagram,kupitia magazeti,usanii wa filamu,muziki wote ni malaya mbwa na maajabu wanaume bado wako tayari kupanga foleni. Imagine Nisha kalala na CK,Laizer,Peter manyika, Ifraj bado wasanii na kuna watu hapo kwenye list ni wagonjwa wa ngoma.

Sishauri Samatta aingie kwenye jiko la pizza wema sepeZ
 
Wamemuache madame wetu huyo mshamba Samatta level zake wakina Gigy, Amberlulu , jokate

Wema is tooooo far for Samatta
 
Hizo ni habar njema sana kwangu maana nimefunga kwa maombi ili kumuombea mbwana samanta aweeze kupata mtu wa kumshtua akili na pia apatee mtu sahihi wa kutumia nae kiasi ili kiasi kimzoeeee asante sana mungu mweza wa yote kwa kujibu maombi ya kijans wako hebu sema aminaaa
 
Wengine wanaomba mwenyekiti na sepenga
 
Habari za J'mosi
Huko insta nimekuta kuna wanaoomba itokee ndoa kati ya Madame na Golden boy wetu, sifahamu ukaribu iliopo kati ya wawili hawa, lakini mna maoni gani katika hili?
Wish granted.
By the power vested in me, I pronounce them woman and husband...
 
Hawamtakii mema Samatta, bali wanataka kumuona amekaa kibarazani kwa kutokuwa na kazi.
Mbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.
 
Mwanamke uki mwagiwa sana mbegu za uzazi unakongoroka na unazeeka haraka sasa kwa Wema Sepetu nafkiri mpaka sasa amemwagiwa mapipa 7 ya shahawa na anaendelea kumwagiwa
 
Mbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.
Kwa nin mkuu isiwe Mr. Blue na T.I.D iwe uthibitisho..?
Na sasa tunasubir kuona kwa Mbowe apate mafanikio ya kuwa Rais wa Tanzania
 
Samatta si ana mchumba amezaa nae
 
Umesikia new penzi in town, mwenyekiti wa Chama na wema, duh sijui tu kuweka audio kwa kisauti kile viti maalum vitamhusu, mwenyekiti anaongea amelegea kama namuona ha ha ha ha
hahahaha hiyo inaitwa jaza ujazwe kamanda Evelyn Salt
Hakika warembo ndani ya chadema hawajawai kumuacha mwenyekiti salamaa
peopleeees..............jaza ujazweeee
 
Sama Goal bora amuoe Shilole mwenye biashara zake za mama lishe kuliko huyo anaetegemea kuuza kiki mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…