Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Siri gani tena audio ipo whatsapp, anamuomba wema msamaha, kamuita aende kilimanjaro waongee jmosi mchana jpili jioni arudi.Mmh penzi halichagui lakini hapa ninaona mwenyekiti atafanya siri, si mume wa mtu yule?
Sijui kuattach ningeweka usikie ubuyu