Kuna wanaoomba ndoa kati ya Wema Sepetu na Mbwana Samatta

haaaaahaaaaa
Wema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..

Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
asituharibie kijana wetu
 
Mbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.

Ha ha haaaaaa eti Chibu kweli unamtaja huyo bila aibu, hukuona alivyokuwa anapwaya alipojiondoa ndio kaendelea...eeeeh sechi uyajue yaliyopita hata humu yamo. Ni nuksi anahitaji maombi huyo mwanamke kamuulize Idriss atakujuza. Chibu mwenyewe alimficha hakujua hata mali zake kiasi alizokuwa nazo... kuna watu wana mikosiiiii
 
Yani mkuu siku yule demu akianza kukohoa basi nusu ya wavulana wa bongo movie tunawapoteza kha yani katoto kamefilimbwa ile mbaya
 
Mbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.
Chibu asingeoa yule kikongwe alikua anapotea si unaona misukosuko iliyokua inampata akiwa na wema
 
Wema ni nuksi ile tena Samatta asije kujaribu kusogelea akae mbali naye.

Punda wa kijiji kila mtu akiwa na jina anamkwea,
 
Chibu asingeoa yule kikongwe alikua anapotea si unaona misukosuko iliyokua inampata akiwa na wema
Teh teh. Zari amekuta ready made, who made it? Wema Sepetu... dig it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…