Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Yaani ni ukuda bin wendawazimu uliotukukaWatu wameanza kazi ya kuwapangia watu wapenzi sasa?
maajabu mapya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni ukuda bin wendawazimu uliotukukaWatu wameanza kazi ya kuwapangia watu wapenzi sasa?
maajabu mapya
asituharibie kijana wetuWema asimletee mikosi champion boy.....yan acheze na kunguni zote tanzania amuache samatta aishi maisha yake ya amani..
Wema kwa sasa size yake ni HAMORAPA tu..maana samata haitaji kiki wala umaarufu ili afunge magoli
Mbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.
Yani mkuu siku yule demu akianza kukohoa basi nusu ya wavulana wa bongo movie tunawapoteza kha yani katoto kamefilimbwa ile mbayaKwa yeyote alieangalia shilawadu Ijumaa ilivyo expose sex life ya kina Jinikabula,Nisha na Trisha ambao ni type ya Wema sepenga.
Hawa wasichana maarufu na wanaotafuta umaarufu instagram,kupitia magazeti,usanii wa filamu,muziki wote ni malaya mbwa na maajabu wanaume bado wako tayari kupanga foleni. Imagine Nisha kalala na CK,Laizer,Peter manyika, Ifraj bado wasanii na kuna watu hapo kwenye list ni wagonjwa wa ngoma.
Sishauri Samatta aingie kwenye jiko la pizza wema sepeZ
Chibu asingeoa yule kikongwe alikua anapotea si unaona misukosuko iliyokua inampata akiwa na wemaMbona mna roho za kunguni nyie watu? Sepenga ana Nyota, Chibu ni uthibitisho tosha, ila bila kuhara maneno kuhusu madam hamuoni raha... Haya yakitimia na Samatta anakuwa mchezaji bora wa Dunia.
Teh teh. Zari amekuta ready made, who made it? Wema Sepetu... dig it!Chibu asingeoa yule kikongwe alikua anapotea si unaona misukosuko iliyokua inampata akiwa na wema