Kuna wanaosema tumchukue Nugaz na Mwijaku

Kuna wanaosema tumchukue Nugaz na Mwijaku

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba

sasa mimi nashauri kwamba ikiwezekana simba iende hata zimbabwe kuchukua msemaji asiyejua kiswahili kabisa ili waandishi takataka waonyeshe ujuzi wao wakati wanazitendea haki bahasha za khaki za msomali wakiwa bize kuleta mvurugano kwa mchampion wa nchi wanakutana na mtu anayeongea english tu

Ni ki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a mzee Tozi..mzee M-BAD sana kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa
 
Mwijaku naona kama anajipachika pachika naona yupo karibu na Simba kuanzia kombe la Azam na leo kwenye press ya Vunjabei....... sijui ila ngoja tuone.
 
Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba

sasa mimi nashauri kwamba ikiwezekana simba iende hata zimbabwe kuchukua msemaji asiyejua kiswahili kabisa ili waandishi takataka waonyeshe ujuzi wao wakati wanazitendea haki bahasha za khaki za msomali wakiwa bize kuleta mvurugano kwa amchampion wa nchi wanakutana na mtu anayeongea english tu

Ni ki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a mzee Tozi..mzee M-BAD sana kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa
Sasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]
 
Sasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]
bora yeye ni demu wake kuliko wale wanaokula wanaume wenzao au tuseme? haina haja jiji lote linajua..
 
Yaani nchi imekuwa ya kijinga hii eti kuna wana simba wanadai mwijaku, Nugaz au dr kumbuka WTF is that?

Mkuu, samahani kama nitatoka nje ya key (mada), nilikuwa naomba unitoe ushamba kirefu cha WTF.

Thank you in advance
 
Heri Ezekiel aendelee ,Simba sasa hivi kiwango kilichofikia siyo timu ya kufanya kelele
Anaenda Uk next month nafkiri kuongeza elimu, hapa dawa ni kuleta mtu wa nje asiyejua kiswahili kabisa
 
Bongo hiyo degree unapata chap

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
agh aisee unajua kuna watu wana maneno kama masau bwire au Thobias kifaru ila sijawahi kusikia kutukana mtu au kushangilia ajali kama lopolopo livyofurahia basi la yanga kupasuka tairi la mbele likiwa na wachezaji ndani ,kuna watu wako kwenye hii tasnia hata wakiapata sumu wanaweza wekea team pinzani ili mradi wapate hela za kwendda holidays dubai
 
Sasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]
Kama ambavyo GSM waliamua kuuchukua msukule ije kwenye misukule yenzie. Hata hamkufanya lolote
 
Yaani nchi imekuwa ya kijinga hii eti kuna wana simba wanadai mwijaku, Nugaz au dr kumbuka WTF is that?
Bongo ukiwa mropokaji mwenye kujitoa ufahamu jamii inakusuggest kwenye mambo ya msingi kama ubunge, rc,dc,das na huo usemaji.
Tumekwama mahala
 
Nimesikia kuwa kama sio Mwijaku basi Dr kumbuka ,mmoja wapo ndo atakua mrithi wa El Bugatti
 
Back
Top Bottom