Kuna wanaosema tumchukue Nugaz na Mwijaku

Kuna wanaosema tumchukue Nugaz na Mwijaku

[emoji38][emoji38] Mwijaku anaisemea Simba
Screenshot_20210901-231917.jpg
 
Wivu tu binafsi namkubali ataweza kuleta hamasa,si mnasema Ezekiel kapoa subirini chuma hicho
 
Simba ipo ngazi za juu Afrika ndani ya timu 20 bora. Nitawashangaa sana kurudi tena kwenye uswahili wa kuajiri watu aina ya Manara. Simba kwa sasa inahitaji mtu msomi na mbunifu kwenye kitengo cha habari ambaye ataikuza na kuiuza Simba mitandaoni. Simba haihitaji tena mpiga makelele au mtu wa mipasho ili kuujaza uwanja. Uwanja utajaa wenyewe kutokana na kandanda safi na matokeo uwanjani.
 
Kwenye press ya Simba kuhusu jezi, Mwijaku kaongea kama nani yani kwa Simba?
Mkuu mjini akili na conection,ukizubaa utachoma mahindi.
Haji alipotoa voice analia kumshambulia Mo na Barbara Mwijaku akaona fursa,ghafla akawa chawa wa Barbara kuanzia Dar mpaka Kigoma kwenye final na akarudi kwenye ndege ya wachezaji kutokea KG.
 
Back
Top Bottom