nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Yaani nchi imekuwa ya kijinga hii eti kuna wana simba wanadai mwijaku, Nugaz au dr kumbuka WTF is that?Mwijaku naona kama anajipachika pachika naona yupo karibu na Simba kuanzia kombe la Azam na leo kwenye press ya Vunjabei....... sijui ila ngoja tuone.
Sasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba
sasa mimi nashauri kwamba ikiwezekana simba iende hata zimbabwe kuchukua msemaji asiyejua kiswahili kabisa ili waandishi takataka waonyeshe ujuzi wao wakati wanazitendea haki bahasha za khaki za msomali wakiwa bize kuleta mvurugano kwa amchampion wa nchi wanakutana na mtu anayeongea english tu
Ni ki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagambadume a.k.a mzee Tozi..mzee M-BAD sana kiboko ya majitu yenye tamaa za pesa
bora yeye ni demu wake kuliko wale wanaokula wanaume wenzao au tuseme? haina haja jiji lote linajua..Sasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]
Yaani nchi imekuwa ya kijinga hii eti kuna wana simba wanadai mwijaku, Nugaz au dr kumbuka WTF is that?
Anaenda Uk next month nafkiri kuongeza elimu, hapa dawa ni kuleta mtu wa nje asiyejua kiswahili kabisaHeri Ezekiel aendelee ,Simba sasa hivi kiwango kilichofikia siyo timu ya kufanya kelele
maana yake ni what the fu**ckMkuu, samahani kama nitatoka nje ya key (mada), nilikuwa naomba unitoe ushamba kirefu cha WTF.
Thank you in advance
Kuna sheria ya TFF nafkiri wataikazia soon afisa habari inabidi awe na degree ya mass comm
Bongo hiyo degree unapata chapKuna sheria ya TFF nafkiri wataikazia soon afisa habari inabidi awe na degree ya mass comm
maana yake ni what the fu**ck
agh aisee unajua kuna watu wana maneno kama masau bwire au Thobias kifaru ila sijawahi kusikia kutukana mtu au kushangilia ajali kama lopolopo livyofurahia basi la yanga kupasuka tairi la mbele likiwa na wachezaji ndani ,kuna watu wako kwenye hii tasnia hata wakiapata sumu wanaweza wekea team pinzani ili mradi wapate hela za kwendda holidays dubai
Kuna sheria ya TFF nafkiri wataikazia soon afisa habari inabidi awe na degree ya mass comm
Kama ambavyo GSM waliamua kuuchukua msukule ije kwenye misukule yenzie. Hata hamkufanya loloteSasa Muddy na demu wake wakiamua kuwaajili Mwijaku na Nugaz wamchangie Manara wewe utafanya nini na timu ishauzwa kwa kanjibhai kwa bilioni 20 hewa[emoji1787]
Bado babra Gonzalez,msimu ujao ni green and yellow..Kama ambavyo GSM waliamua kuuchukua msukule ije kwenye misukule yenzie. Hata hamkufanya lolote
Bongo ukiwa mropokaji mwenye kujitoa ufahamu jamii inakusuggest kwenye mambo ya msingi kama ubunge, rc,dc,das na huo usemaji.Yaani nchi imekuwa ya kijinga hii eti kuna wana simba wanadai mwijaku, Nugaz au dr kumbuka WTF is that?