Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Hilo pepo mahaba la Mshana Jr limepataba na pepo lako.
 
Na ma Pound na ma Rand na ma Dutch Mark na ma Dirham...hahahaa pesa haijawahi kua adui wa mtu, Yesu tu ndio hakizipenda kabisaa, hahahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daby popote ulipo Daby ukuje huku. Uone huyu umemfanya nini. Huu Uzi ni Kwa ajili yako au ulimbania nini? Haahaaaba nasubiri mrejesho..


Mjumbe wa kamati za utafiti idara ya papuchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…