DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Alikula imeishaamekula ban[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikula imeishaamekula ban[emoji23]
Pm imefungwa yanguNajua wanakujaga Pm kwakooo
Na ma Pound na ma Rand na ma Dutch Mark na ma Dirham...hahahaa pesa haijawahi kua adui wa mtu, Yesu tu ndio hakizipenda kabisaa, hahahaaaaKabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
Na ma Pound na ma Rand na Dutch Mark na ma Dirham, hahahaa pesa haijawahi kua adui wa mtu, Yesu tu ndio alikua hazipendii, hahahaaKabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
Hilo pepo mahaba la Mshana Jr limepataba na pepo lako.Kama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ma Pound na ma Rand na ma Dutch Mark na ma Dirham...hahahaa pesa haijawahi kua adui wa mtu, Yesu tu ndio hakizipenda kabisaa, hahahaaaa
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]