Kabisa tunahongwa tu na matajir ya Jf tunakula maisha madoraliii
Karibu kwenye ile forum yetu pendwa makapuku. Nakusubiri kuule.Napata chai nitarud kuwatag kwenye comment mabilionea ya jfView attachment 813759
Umesema kweli.
Sina account popote.Mimi maskini sana mkuu.Na wewe unasupport tuanze kugawa madollar. Vipi una account paypal ?
Swari kabisaa Demiss, uko poa bilashakaMambo
Ukishaona mtu yupo humu too much available kama akina sie ujue huyo hana cheki za kusaini,miradi ya kusimamia,kikao cha kuendesha wala warsha ya kufunguaNashukuru maana walikuwa hawaamini
Ukishaona mtu yupo humu too much available kama akina sie ujue huyo hana cheki za kusaini,miradi ya kusimamia,kikao cha kuendesha wala warsha ya kufungua
...ni mwenzetu pesa ya mboga.Labda kurefresh mara moja moja.
Hivi ili tuseme mtu ana hela, inabidi ziwe sh ngapi kwa mfano?
Naomba kuelimishwa.
Kwani mada imesema mwanamme aliye online jf hana hela?au anayepitisha like?Hii kauli inakaukweli. Asilimia kubwa..ila sio wote wengine mda wote app ipo online. Hatuna tabia za kuzima data coz shughuli tuzifanyajo zinahusisha utumiaji mkubwa kukidhi tunachofanya..
Utafanya watu wawekee offline mode
Kwani mada imesema mwanamme aliye online jf hana hela?au anayepitisha like?
Au anayechangia?
Kuna watu waropokaji humu,yupo humu muda mwingi,kila mada yupo kila mara kila wakati.Its like hana maisha out of JF.Kama vile yeye ni mode.
Na kutokuwa na pesa ni phase tu,sio dhambi.