Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Kuna wanaume JamiiForums wana pesaa balaa!

Hahaha Elfuonea hao aisee.
Ila siku hii hata milioni sio pesa aisee.
Mie nimecheka hapo kwenye fronting, ndio kifua mbele? [emoji23][emoji23]
Ndio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".

Huku miguu imejaa vumbi, kiatu kimepinda upande mmoja.
 
Na gari inatoa moshi kama treni, na tairi kipara [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Kuna mkaka ana stori miingi za hela ila kila saa anasema nna buku 3 tu hapa mfukoni. Unaishia kucheka kimoyomoyo
Ndio hao wa "Bill Gates kanipigia simu ananiomba anilipe kidogo kidogo deni nimemkatalia nimemwambia anipe zote".

Huku miguu imejaa vumbi, kiatu kimepinda upande mmoja.
 
Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.

Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
Akikutajia unitag mkuu niwaambie wakufungulie piemu zao
 
Na gari inatoa moshi kama treni, na tairi kipara [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Kuna mkaka ana stori miingi za hela ila kila saa anasema nna buku 3 tu hapa mfukoni. Unaishia kucheka kimoyomoyo
Huyo labda anaitumikisha hela yake ipo kwenye mzunguko.

Siyo hana hela, hayuko liquid hela yake kawekeza yote labda.

Nas anakwambia kajaza "paper" kwenye briefcase lakini "not money, it's bank statements".

Inawezekana mshkaji ana buku tatubtu lakini bank statements za kufa mtu.

Hahaaaa.
 
Hommie nakusalimia nikiwa hapa Mamsera kwa Mwarabu. Shem wako Sky Eclat yuko maternity leave...

BTW sisi ambao hatuchukulii hela kwenye ATM ndo wanaume wenye hela au ndo matajri wa Dar?
Aisee wakuongeze pande moja hapo chaaap na kwa furaha ya kichanga cha Sky Eclat upeleke home kilo 5. Maini yasikose.

Naenda kwenye kibubu (hela ya mererani)
 
Back
Top Bottom