Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #501
Ewaaaaah na anakwambia mm siwez kuoa mwanamke ambaye anasoma masomo ya Arts maaajabu juzi kwenye harusi yake ameoa mwanamke aliyeishia la saba nikasema maaajabu.Halafu huyo ukute formula zote za kutafuta hela na kupata compound interest nzuri anazijua.
Anavyojua sasa Math hajawahi ingia na kitabu darasan alafu mwalm anayetegemewa kwa masomo ya biashara shule nzima.