Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hmm mzee baba ww bado unafukuzia dem mda mrefu? siku hizi hamna mwenye mda wa kuchezeaMiezi 2 tu ameshato........... Sana
Kweli mademu wa siku hizi so easy
dudu mpekenyo... toboa toboa kama wanao kula mbao... vichwa vyeusi...Dudu washa au?
Iv umepima na ukimwi ? Au mbwembwe tu kama samaki ktk maji ya baharA alaykum to all muslim ..na wale wenzentu wa imani tofauti na yangu tumsifu yesu kristo.Leo jumapili tulivu nataka nitoe kijistori kidogo kinachohusu mahusiano yangu na mwanaume huyu wa JF.
Nilianza mahusiano na mwanaume huyu september 12/2017 nakumbuka kitu kama hichi.Kiukweli mwanaume huyu alikuwa bora kwangu najua humu wadada wengi mnamfahamu maana anaonekana kuwa sukari kwa warembo kwa vijimaneno vyake vya mahaba ila some times yes some times no.
Basi mapenzi yaliendelea mpaka siku nikakutana nae titi fotati face to face he he heeeee .Huyu mwanaume ni shidaah kuanzia muonekano wake yahni ni shida ..ni mwembamba,Mweusi ,mrefu kiasi,ni muongeaji sana na mjuzi mno wa kubembeleza;na kukufanya hujihisi mwanamke ukiwa nae sasa balaa linakuja kwenye mambo yetuuuu yaleeee.mwanaume anamichezoooo huyu sijapat kuiona tangu nizaliwe na kwenye game ukimuendekeza na kumuachia k anaweza kukuto.... usiku kuchaaa...
Chukua sifa zako kokote ulipooo unadeserve kuwa mwanaume wa mwanamke yeyote aliyokamilika .Kiukweli ni mwanaume ambae alinifanya niienjoi mahusiano na kiukweli sijutiii kuwa nae ingawa nimekutana nae humu.,
Sasa huyu kwangu mimi namuita mwanaume mashine all in all yote i like the way unavyo nishauri mambo mema na yenye manufaa kwangu japo unatumia njia ambazo hata mimi zinanifanya nishindwe kukuelewa but thanks so much kwa hilo.a
Special 4 u ...........UMESHAJIJUA NAJUA
Basi hapo wapo watakaotaka waende kujionea kwa macho......yaliyomo yamooooo..Maana wanawake kwa kupenda kujionea hamjamboo
Nimeandika post yangu kwa niaba ya muhusika sasa utakaekuja kucoment hapa upupu sitakuacha hata sekunde moja ukicoment upupu utajibiwa upupu kama uliouandika....the news is that
Thanks muwe na asubuhi tulivu
Aahhhh weee ilo ndo uloliona tuuu ,,mbn anasema ,,, anashauliwa vizuri pia ??.Kupigwa pumbu tu unatangaza, mademu wa siku hizi.
Leo naona wanaume Wa dar ,,mmeona maajabu sana .Au ndio yule jamaa alikuwa analalamika anachukuliwa demu wake? Hahahah
Kuna jamaa alikuwa anatuponda huku sasa ndo naanza kumuelewaHivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.
Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.
Au ndio unajipiga promo.
Sisi ndy wanaume tunaokwambiya...umekutana na CHA CONGO....kama huamini FANYA SEARCH BEFORE sex kama hujamfuma na KICHUPA cha Mpako .....wapo vijana wengine huwa WANAPAKA KABISA mpako wa CONGO kwenye DUSHE kama mafuta ya kawaida atokapo nyumbani....ili hata ikatokea kakutana na msichana mtaani anakuwa tayari ANAO MPAKO wa CONGO...Hamna cha Congo wala chann.
Mjikubali mlivyo.