Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Ndondokela wa mapenzi tu ww yani kupigwa pipe kidogo tu umegeuka Dr Shika kila kona unazungumzia?
 
Unamsifia fala huyo mnyonya k_uma sifia tunaosimamisha 5-6 hrs hatumezi sildenafil wala manix nitafte niku show chezo
 
Iv umepima na ukimwi ? Au mbwembwe tu kama samaki ktk maji ya bahar
 
Hamna cha Congo wala chann.

Mjikubali mlivyo.
Sisi ndy wanaume tunaokwambiya...umekutana na CHA CONGO....kama huamini FANYA SEARCH BEFORE sex kama hujamfuma na KICHUPA cha Mpako .....wapo vijana wengine huwa WANAPAKA KABISA mpako wa CONGO kwenye DUSHE kama mafuta ya kawaida atokapo nyumbani....ili hata ikatokea kakutana na msichana mtaani anakuwa tayari ANAO MPAKO wa CONGO...
 
Mima white cute kinachonishangaza according to your profile umejoin jana tu inamaana baada tu ya kuwa member wa JF ukapata bwana hiyo hiyo jana mkakutana na mkafanya mapenzi!!! Kama ni kweli hii dunia natamani isimame nishuke!!!
 
Una miaka mingapi mtoa uzi? Umeolewa unaishi na mwanaume? Kama huna kwanini hujapata wa kukuoa? Wacheni kupotosha maadili ya jamii kisa ushamba.
 
Kama ni mwanamke wa koulewa wewe haufai hata kidogo!, Inaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa hauna malezi mazuri kutoka kwa mama yako mzazi. Mwanamke mwenye maadili hawezi kuweka siri ya penzi la kitandani la mume wake hazarani hivi, Inaonyesha wewe ukigombana na mumeo! Siri za mumeo zote utaziweka hazarani. Shame on you....ni hayo tuu , jifunze kuwa na akiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…