Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

Mima wangu malaika wengine wote mnatafuta mabwana.Mwanamke anayejiheshimu hawezi kuandika kama hivo.WEWE MRAHISi hata maandishi yako yanaonekana.
Tena mwanamke anayejitambua hawezi kutafuta mwanaume mtandaoni.
MIA WANGU ANA AKILI SANAAA YAANI HAMUMFIKII HATA ROBO, NA MLIVYO WARAHISI HIVYO NDIO KABISAA. MWANAMKE SHURTI UMHANGAIKIE KAMA MWEZI HIVI, SIO NYIE WIKI TU NA MZIGO MSHATOA.

NIMEKUDHARAU[emoji57]
 
Mima wangu ana akili Sana ndyo maana nimemwambia abadilishe ID toka nilimvyomkula
 
Hivyo hukutaka kingine kwake we ulipojua tu ni sukari ya warembo basi ukamtunuku.

Ila na sisi wanawake tuna vituko yaani sukari uilambe wewe, sifa utuletee sisi mbona kama haiusiani.

Au ndio unajipiga promo.
Shiiiiidaaaa
 
Weeeh ngoja bwanake akusikie unamuita mkewe wa mwendokasi wakati mwenzio anamuona malaika!!
Hatafanya lolote, si amemuanika humu yeye mwenyewe,

Akileta za kuleta nitamwambia anipe namba yake, kidume namaliza
 
Kwa mara ua kwanza mwanaume wa Dar kasifiwa tena kwa maneno kuntu haya wa mikoani mje miendeleze bifu
 
Lol Hii ilinipita wapi?? Au nilikua kifungoni mwa Smart911???? Hongera kwa kupigwa dyudyu ya ukweee [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom