Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleNamfananisha na x hubby wangu, sijui kwa nini nimepita hapa ,dah ila kuna wanaume jamani wanajua kuumiza kifikra ,kiakili na kila kitu , kuna muda mpka unatamani kufa ama kurudisha siku nyuma , Mungu zidi kunijaza baraka za kusonga mbele , niongoze baba na kuniondolea fikra zote hasi
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Namfananisha na x hubby wangu, sijui kwa nini nimepita hapa ,dah ila kuna wanaume jamani wanajua kuumiza kifikra ,kiakili na kila kitu , kuna muda mpka unatamani kufa ama kurudisha siku nyuma , Mungu zidi kunijaza baraka za kusonga mbele , niongoze baba na kuniondolea fikra zote hasi
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Ila DUNIA SIJAWAHI KUIELEWA...Namfananisha na x hubby wangu, sijui kwa nini nimepita hapa ,dah ila kuna wanaume jamani wanajua kuumiza kifikra ,kiakili na kila kitu , kuna muda mpka unatamani kufa ama kurudisha siku nyuma , Mungu zidi kunijaza baraka za kusonga mbele , niongoze baba na kuniondolea fikra zote hasi
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Unayajua yaliyo nyuma ya pazia...Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
Ila anaweza kuzaa nje na kutelekeza watt na kuzidi kuunda chain ya single mother's na ukija kujua ukweli wanawake wote aliwadanganya hana mke wala mtoto , ?Pole sna ila tumesikia upande mmoja ngumu sna kutoa Uhukumu Kwa kusikiliza upande moja Sina Iman km mwanaume anaweza kutupa watt wake tu bila sababu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Never judge a case by one side..Dah.... huyu jamaa si kwamba amechezea bahati, bali, kamtukana MUNGU ile mbaya wallah...
NA HUYU MAMA, KWA JINSI ALIVYO, WA HIVI KAMA KWELI WAPO, BASI WACHACHE SANA....
Sure, nimekuelewa.. ILA, AKIHOJIWA, NA IKILETA OUTCOME HII ILIYOWEKWA, THEN MY OPINION WILL STAND, OTHERWISE... I WITHDRAW MY STATEMENTS
Upande wa pili unaweza kuja na maelezo tofauti kabisa ya kubadilisha muelekeo wa kesi. Tunajua wanawake mlivyo wajanja kwenye kucheza na public sympathy Hilo halina ubishi hata the way umeweka kisa chako hapa kwa ufupi bila kuzingatia makosa yako kwenye huo mkasa.Ila anaweza kuzaa nje na kutelekeza watt na kuzidi kuunda chain ya single mother's na ukija kujua ukweli wanawake wote aliwadanganya hana mke wala mtoto , ?
Kuna muda mnajitengenezea laana bhana msifanye hivyo dah
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Ni vile vile ambavyo mwanamke anaweza kuzaa nje na kumbambikia mumewe awalee miaka yote akimuaminisha Ni wa kwake..ipi tofauti hapo?Ila anaweza kuzaa nje na kutelekeza watt na kuzidi kuunda chain ya single mother's na ukija kujua ukweli wanawake wote aliwadanganya hana mke wala mtoto , ?
Kuna muda mnajitengenezea laana bhana msifanye hivyo dah
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Najua wanaume mpo wengi Jf kuliko wanawake , najua nyie ni wazuri sana wa kuandika ila
Sawa nishakubali watt wawili tayari
Nikaona wacha nisamehe na watatu pia??
Je hawa ndio niliowajua je? Wengine nisiowajua???
Msilazimishe upofu kwa vitu vinavyoonekana !kwani kuwa mnyenyekevu na mwenye kumjali na kumthamini mwenzi wako kunapungukiwa nini?
Dunia hii tunapita tusiumize mioyo ambayo haistahamili uchungu ,si vizuri inaumiza sanaView attachment 1398612
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Yote kwa yotepole ndugu.
ila kuna cha kujifunza toka mwanzo.
tatizo wakina mama wengi huwa wanazungumza mabaya yanayowatokea baadaye hawasemi kuwa mwanzo ilikuwaje?
1. mfano wakati anaingia kwa bwana A, aliondokaje kwa mpenzi wake wa zamani( Jeuri, fedheha, mbwembwe na komeaha nyingi?)
2. alipompata Bwana A ambaye ni mpya alikwenda na picha gani ambayo haipo kutokana na uhalisia wa mpenz wake mpya?
4. mna uwezo wa Kuvumilia sana, na huwa mnakuja kusema matatizo yenu stage 4,ndo mwatafuta social sympath, wakati mnaweza mkasaidiwa mapewa katika early stages za changamoto zenu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonisikitisha ni jamaa kuharibu uchumi uliokuwa unakuwa kwa kasi
Mkuu,ukisikia mtu kujutia maisha uzeeni ndio kama hivi;utaachaje sehemu ambapo ulikuwa unakuwa kiuchumi?Dah.... huyu jamaa si kwamba amechezea bahati, bali, kamtukana MUNGU ile mbaya wallah...
NA HUYU MAMA, KWA JINSI ALIVYO, WA HIVI KAMA KWELI WAPO, BASI WACHACHE SANA....
Sasa hapa huoni kuna mtu amebebeshwa mtoto ambae sio wake huko... Wanawake will stay on top aseeMsitukane single mothers visababishi vingine ni nyie wenyewe
Wanaume Jf mpo wengi wengine mtateteana ila ukikaa ukitulia utakiri kwamba kweli hata ww huenda unakosea sana mahali
Tukiweka utu na thamani mbele yetu hatutaumiza wenza wetu ,inaumiza sana tena sana tubadike haigharimu kitu jamni
Kila kitu kinapita
View attachment 1398614
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Tatizo baba naye hana mwelekeo mzuri wa kiuchumi kutokana na kuacha dhahabu na kukimbilia jiwe linalong'aa
Swali la kujiuliza,utatumiaje pesa mliyokusanya na kuwekwa kwenye akaunti yako kwenda kuitawanya hovyo huko nje na mchepuko anayeaaangalia maslai yake binafsi?Sure, nimekuelewa.. ILA, AKIHOJIWA, NA IKILETA OUTCOME HII ILIYOWEKWA, THEN MY OPINION WILL STAND, OTHERWISE... I WITHDRAW MY STATEMENTS
Hapo ujue kosa kubwa ambalo mwanaume mwenye akili timamu hawezi kulivumilia na kuamua kutelekeza familia ni kugundua anapigiwa, na wanawake wakishaanza huo mchezo nje ya ndoa ujisahau na kusnza dharau na hujutia baadae. Ndo yaliyomkuta huyo bi dada.Pole sna ila tumesikia upande mmoja ngumu sna kutoa Uhukumu Kwa kusikiliza upande moja Sina Iman km mwanaume anaweza kutupa watt wake tu bila sababu...
Sent using Jamii Forums mobile app