Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Ukiniita kirahisi hivyo njoo lodge fulani. Nakubebisha utangulie lodge nakuja muda ukifika nablokia mbali huko ujiongeze.
Mpaka mtu anakwambia uje Lodge Fulani Basi ujue Kesha kusoma kua utoweza kuchomoa, trust me
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeua. Ujue wakati anakutongoza kimoyomoyo na wewe ulikuwa unamtongoza kihivyo. Mkajikuta hilo neno ulilosema mstari wa pili kutoka chini
 
Mkuu mbona povu jingi sana! Kuna shida gani imekukuta?
Kuna wanaume huwa hawajielewi mkuu..kuna huyo mmoja kipindi Fulani alinitokea nikamkataa yaani hata contacts zangu sijui alipata wapi,,, nilivyoona anakera halafu siyo mwelewa nikawa akipiga simu sipokei,,, akituma sms sijibu ,,,, kipindi hicho Mimi nilikuwa na mchumba tayari.... akaenda kwa kaka yangu eti anamuita shemeji halafu anamwambia mbona Mtoto wa Baba hapatikani? Alinikera sana yule fala, alinifanya nimtukane na mazoea yakakoma.
 


Doh pole ila ndiyo hivyo tena hatuchoki kutafuta wakutufaa. Tunajaribu, yunatukanwa yaani basi tena. Ila wadada kuna wakati tunawapata kwa taabu kwel
 
Kumbuka kuna jamaa ametoa thred moja hapo juzi kati. Alisema kipaumbele cha mwanaume kwa mwanamke ni papuchi tu. Vingine vyote ulivyosema hapo ni mbwembwe tu. Hata ingewezekana mwanaume angependa hata akikutazama tu kwa macho,wewe mwanamke tayari uwe unavua hiyo ya huko ndani unaiweka pembeni anamuachia amalize. Njia ya kutongoza ndefu sana
 
Hahahaha!!! Mkaanga chipsi hana chake hapo ila atakujibu kinafiki kama unavyojua Hawa wenzetu.
 
Ndio zangu hata ikitoke Ex akaniomba upya nakubali nambebisha wee. Nahakikisha amesafiri kutoka mkoa mmoja hadi mwingine akiniamboa ameshuka stand nablokia mbali huko ajiongeze. Dharau sitaki


Punguza hasira mkuu upate kitu kizuri bhaanaa
 
Tatizo madem wa siku hizi ukishaombwa namba tu , unajua tayar umeahatongozwa kwa kinachofuata ni mgegedo tu, siku hizi mambo mepesi Sana hakuna shida
 

Hahahaaa.wanaume wa siku hizi wako honest.hawataki kuwadanganya.kwa kuwa tongoza watasema uongo kwamba anakupenda.halafu kumbe wala si kweli.yeye anataka mzigo tu ili atathimini.ukimridhisha ndiyo anaweza chonga mzinga.hiyo ilikuwa zamani.sikuhizi ukitaka wa sound za kuto goza ujue utasubiri sana
 
Ahsante mkuu

Me napenda mtu awe mwelewa mkuu siyo nakwambia hali halisi unakuwa huelewi,,, unakuwa king'ang'anizi inaboa aisee....yaani kaka yangu alinionaje sijui,,, hapo Nina mchumba kila mtu nyumbani anamfahamu,, halafu ghafla kaka anaambiwa eti nina mpenzi mwingine.
Doh pole ila ndiyo hivyo tena hatuchoki kutafuta wakutufaa. Tunajaribu, yunatukanwa yaani basi tena. Ila wadada kuna wakati tunawapata kwa taabu kwel
 
Kutongoza nacho kipaji aisee maana Kuna wengine anakutongoza unatamani umwambie kajipange tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…