Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Ahsante mkuu
Me napenda mtu awe mwelewa mkuu siyo nakwambia hali halisi unakuwa huelewi,,, unakuwa king'ang'anizi inaboa aisee....yaani kaka yangu alinionaje sijui,,, hapo Nina mchumba kila mtu nyumbani anamfahamu,, halafu ghafla kaka anaambiwa eti nina mpenzi mwingine.


Duh hapo lazima uchanganyikiwe aisee,,,,
 
Mimi sikumbuki mara ya mwisho kutongoza ilikua mwaka gani.
 
Haha...hatari sana...mimi huwa siendelei nikiona muhusika haoneshi muelekeo....mara nyinyi natengeneza mazingira ya yeye kunielewa...90% ya mahusiano yangu yote...sikuwahipiga misele mirefu au uongo mwingi au hata kusema i love you...baada ya mahusiano ndo maneno yanaanza kwenda huko.....
Kuna wanaume huwa hawajielewi mkuu..kuna huyo mmoja kipindi Fulani alinitokea nikamkataa yaani hata contacts zangu sijui alipata wapi,,, nilivyoona anakera halafu siyo mwelewa nikawa akipiga simu sipokei,,, akituma sms sijibu ,,,, kipindi hicho Mimi nilikuwa na mchumba tayari.... akaenda kwa kaka yangu eti anamuita shemeji halafu anamwambia mbona Mtoto wa Baba hapatikani? Alinikera sana yule fala, alinifanya nimtukane na mazoea yakakoma.
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Mtu mzima hatongozwi anapapaswa tu!
 
Hili swali nimeshajibu
Niliuliza la kwanza Ulijibu kwa generally ndio maana nikakupa hili ili unipe precise answer na. Just to get the specific answer! Make a choice btn the two parties
 
Hapa ndipo nafika nawapa credit wazungu kuliko weusi. Maana wale ujimpiga chicho mara kadhaa tayari ameisha kuelewa unataka nini.
 
Write your reply...ndo mtukubalie hivyohivyo mkuu we mwenyewe sio chako umekikuta acha roho mbaya
 
Hapa ndipo nafika nawapa credit wazungu kuliko weusi. Maana wale ujimpiga chicho mara kadhaa tayari ameisha kuelewa unataka nini.
Uongo wa kizamani huu eti mzungu kumtongoza una mwambia i love you kashakuelewa . Jaribu uone.
 
Ingekua nasikia raha peke yangu sawa Lakini kumbe tunastarehe wote hata na wewe pia unatongoza siku hizi si mke si mume muhimu pesa
 
Back
Top Bottom