Kuna wanaume watamu sana!

nina miaka mingi sana kwenye sector hiyo hadi nikaacha ujinga na kumrudia Bwana. ila tangu nianze kupambana na kutumia ujuzi wangu wote kuwatosheleza wanawake, sijaona faida ya ziada maishani. imebaki nimridhishe tu huyu niliyenaye ili apate furaha yeye. kwasababu mimi furaha ninayo siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…