Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwanamume usipomkaza vizuri manzi lazima akudharau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa wew ndo una akili😀😀😀😀hadi mate yamenijaa 😋😋
Enewei ukiwa single jamani unaenjoy
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa haya mambo gani umekuja kuanika siri zangu huku? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Kama karibu mnamaliza Mwaka wa pili, mbona ndiyo sifa unazitoa sasa hivi!!? Siku zote ulikua wapi!!??Wengi Ni hivyo. Ila kwangu Mungu Ni mwema karibu tunamaliza Mwaka wa pili sasa[emoji120][emoji120]
ndio hivyo hatunaga hela hakika MUNGU FUNDI
that manziWeka namba tumpongeze [emoji275]
😃😃😃😃😂😂😂🤦♀️Mara nying sana wanawake wa aina yako wanakuwa black sura za baba zao, shepu yenyewe sasa.....[emoji16][emoji16]