Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
How is your Sunday Guys? Mine is so super Good.
Jamani nyie Kuna wanaume ni watamu acha tu jamani. Yaani he knows how to please a woman mpaka unaona mbingu hii hapa. Sijui huwa wanajifunzia wapi jamani maana wanajua sana na joto lake ooh dear u will even faint I swear...
Na most of them unakuta hata hakuna kitu anakupa, hana hela kiivyo, hakuna hata mahali anakupeleka katika future[emoji23][emoji23] ila sasa ndio ana utamu Jamani Oh oh oh God!..[emoji134][emoji134] unasahau shida zote yaani huishiwi hamu nae, unatamani hata mjifungie ndani mwezi mzima mpate tu time ya kula raha.
Yaani ukiwa nae mnakuja tu kushangaa saa 11 asubuhi imefikaje. Yaani jamani nyie acheni tu. wanaume watamu Mungu awatunze Jamani. Hata Kama hakuna mahali mnatupeleka haijalishi[emoji1]. Raha mnayotupa is Heaven oh oh [emoji97].
Mungu nituzie Kijana wangu.
Nikutakie Week poa ya kesho.