Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kuna wale wa show kimyakimya kama coldwar yaani.Mwanaume awe anajua mambo halafu ana maneno matamu. Hata kama ya uongo ila sex isiwe kimya kimya yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wale wa show kimyakimya kama coldwar yaani.Mwanaume awe anajua mambo halafu ana maneno matamu. Hata kama ya uongo ila sex isiwe kimya kimya yaani
How is your Sunday Guys? Mine is so super Good.
Jamani nyie Kuna wanaume ni watamu acha tu jamani. Yaani he knows how to please a woman mpaka unaona mbingu hii hapa. Sijui huwa wanajifunzia wapi jamani maana wanajua sana na joto lake ooh dear u will even faint I swear...
Na most of them unakuta hata hakuna kitu anakupa, hana hela kiivyo, hakuna hata mahali anakupeleka katika future[emoji23][emoji23] ila sasa ndio ana utamu Jamani Oh oh oh God!..[emoji134][emoji134] unasahau shida zote yaani huishiwi hamu nae, unatamani hata mjifungie ndani mwezi mzima mpate tu time ya kula raha.
Yaani ukiwa nae mnakuja tu kushangaa saa 11 asubuhi imefikaje. Yaani jamani nyie acheni tu. wanaume watamu Mungu awatunze Jamani. Hata Kama hakuna mahali mnatupeleka haijalishi[emoji1]. Raha mnayotupa is Heaven oh oh [emoji97].
Mungu nituzie Kijana wangu.
Nikutakie Week poa ya kesho.
TALL, DARK AND HANDSOME.Hii ni kwa wale wanaume warefu Alaf weusi Alaf wanamwl flan hv mna kitu mtafika mbali [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wacha weee 😂😂😂 hongeraSa beb si ungenitumia tu msg
Umeona uje uniandike huku? Huofii wakinitamani
Anyway ladies iyo jamaa ni mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kbsaa mna utamu wenuu Ila sisi wanawake Mara chache tunafungukaa...Ila wenye utamu mpoooKumbe wanaume nasi tunakuwaga watamu kihivyo! Didn't know before
Kwa kweli tunasubiri mrejesho😁😁🤣🤣🤣🤣 Ngoja niingie kazini nitakuja na majibu.
TALL, DARK AND HANDSOME.
Mzee Extrovert wewe ni TALL, DARK AND HANDSOME?
Cc: mimiamadiwenani
Cute Wife
mshamba_hachekwi
cocastic
dronedrake
Boda boda hanaga kazi chafu haswa akishakunywa Eneji na Panadol 🤣Hongera naona unaturingishia😀
Hii ni kwa wale wanaume warefu Alaf weusi Alaf wanamwl flan hv mna kitu mtafika mbali [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Sawa classmatesTuliosoma Cuba tushaelewa hapo anatafutwa mwanaume mwenye sifa tajwa.
Changamkieni fursa wana ndugu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Toka zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahio wanaume wafupi wanene hatustahili kitu?
Nitakuwa Mimi huyoWeka namba tumpongeze [emoji275]
Kwa sababu unakuwa mwanaume mtamu hujampata.😀😀😀😀hadi mate yamenijaa 😋😋
Enewei ukiwa single jamani unaenjoy
Namba ni 0678..276 njoo pmWeka namba tumpongeze [emoji275]