Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

Usiamini sana akili za mwanamke akiwa "kazini/chini ya amri.

Wakati mwingine anacho kifanya hakiko katika uhuru wake.
pindi ukimpa nafasi afanye Kwa uhuru wake anaweza kufanya vitu vya ajabu ukashangaa.

Binafsi huwa natowa credit Kwa mwanamke anaefanya jambo akiwa anamiliki uhuru wake.
 
Baharia baada ya kugongana na vichwa ngumu kwa muda mrefu hatimae kaona hafadhari hahahha
 
Mtoa mada ujatembea wewe,
Odometer yako inasoma chini km 100,000
 
Back
Top Bottom