Usiamini sana akili za mwanamke akiwa "kazini/chini ya amri.
Wakati mwingine anacho kifanya hakiko katika uhuru wake.
pindi ukimpa nafasi afanye Kwa uhuru wake anaweza kufanya vitu vya ajabu ukashangaa.
Binafsi huwa natowa credit Kwa mwanamke anaefanya jambo akiwa anamiliki uhuru wake.