Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Ha ha ha..... kweli kipo nnachofaidika nae,ana kijiupepo flan hivi kinavuma POA kwenye mishe zangu[emoji4]
 
Sema hizo sms ni comedy tosha
 
Hahaha! Huyu ni mke au hawara yako??
 
Mkuu si ubaki njia kuu tu. Huyo mwehu wa nini ilhali unae mke mzuri? Peleka hayo matunzo kwa mkeo ili wanao wanufaike kuliko kupeleka kwa makahaba na wadangaji wasiokuwa na shukran
 
Limbwata is real madam!!!
 
Kama ni mke.. BASI umeoa chizi... Kama sio mke... Shida unaikumbatia mwenyewe..... Piga chini kichaa huyo... Na pia (KWa sauti ya kinyakyusa hapa) koma kuwekeza KWa mchumba! Tena koma kuwekeza KWa mchumbaa! Tena komaaa kuwekeza KWa mchumbaa!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…