Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Huyoo mama j ni wakoo wa kufa na kuzikanaaa kakaa pambanaa sisi tuko nyuma yakoo pamoja na mama j we love her[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ha ha ha....yaan Kama mmeniozesha vile[emoji1]
 
Ha ha ha....kweli kabisa mkuu,
Hafai kua MKE wa mtu kabisa,ndo wale tukaambiwa wameumbwa kua Michepuko ya watu
Huyu ana kadi ya dhahabu ya kuwa mchepuko.
Una roho ngumu.

Mimi kwa mwanamke mwenye mdomo na hana akili kiasi hicho nyege hukata yaani simgusi
 
Kwamba nilitakiwa nikamuwashe Moja mbili tatu za mashavuni?
Unajua sio lazima umpige makofi mwanamke ili aone mamlaka yako, kuna namna unatakiwa kumhandle, ukisema kitu ajue mamlaka yako. Hii tabia ya kubishana, kutukanana na mwanamke inashusha hadhi, ongea mara moja, tumia mamlaka yako aone, kuwa mtu wa misimamo, "tuachane" iwe tuachane.
 
Huyu ana kadi ya dhahabu ya kuwa mchepuko.
Una roho ngumu.

Mimi kwa mwanamke mwenye mdomo na hana akili kiasi hicho nyege hukata yaani simgusi
Wee tatizo hasira zako ziko karibu Sana[emoji4]
 
Ukiona mpenzi wako haurumii uchumi wala tatizo lako lolote ,tambua hakupendi...is there for their own benefit. Kwa mwanaume angalia sana kitandani kama kupo sawa.
 
Sikiliza, leo nenda mkule wee ma kesi iishe, maisha ni haya haya unajua fika humwachi unaremba nini?
Nataka nimuache ata huu mwezi upite kwanza[emoji4]
 
Ukiona mpenzi wako haurumii uchumi wala tatizo lako lolote ,tambua hakupendi...is there for their own benefit. Kwa mwanaume angalia sana kitandani kama kupo sawa.
Sahii kabisa mkuu,hajali chochote uyu
 
Back
Top Bottom