Kuna wanawake kweli pasua kichwa aisee, dah balaa

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,034
Reaction score
4,792
Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi?

Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa.

Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah.

No body is perfect but women this is too much (Nlikuwa Sina ratiba ya kunywa ila imebd nipashe bia mbili tatu huku wimbo wa harmonize am single again unapigwa kwa club)
 
Na hapo wanaume ndo mnapofeli,

Huyu mwanamke wako ana insecurities,wewe umemuaga unaenda sehemu ila yeye anawaza unaenda kwa mchepuko

Ulichotakiwa kufanya ni kumbembeleza kirafiki na kuwa positive about sehemu unayoenda na wakati wa kutoka unamwachia mabusu kedekede,hakika utaona atakusubiri urudi hata kama saa 6 usiku as long as ulimwacha with a positive mind!

Wanawake wengi huwa tunataka tu assurance ya maneno hata kama mnadanganya ila assurance ya maneno ni tiba tosha kwetu!

Ushawahi sikiliza wimbo wa davido assurance?hiko ndo unamiss sasa mtoa mada,
 
Kila dakika uwe unabembeleza nakuapa kwa mwanamke kisa kupate assurance ya unako endako.......kuna wanawake mpaka anakukera kila dakika anawaza kusalitiwa kwanini uwe negative kila siku.
 
Ukiona mwanamke wako hakuamini cheki matendo yako,
 
Matendo yapi tena wakati hakujui na unashinda kazini, kuna wanawake wengine wana gubu na visirani endelevu.
Usikariri,just play your part as a gentleman japo sikatai wapo wanawake wenye gubu ila walio wengi hilo gubu linatengenezwa na wanaume zao
Yani mwanaume anamfanya alie malaika awe shetani
 
Yan mda wote anataka akuone ndani Kama msukule vile, wanawake nani aliewadanganya kuwa mwanaume anachungwa kama mbuzi?

Nimeaga nna appointment na wanachama wenzangu imekuwa nongwa, kavuta mdomo balaa.

Ukitoa taarifa tabu, usipotoa taarifa ndo Vita kabisa ya urusi na Ukraine dah.

No body is perfect but women this is too much (Nlikuwa Sina ratiba ya kunywa ila imebd nipashe bia mbili tatu huku wimbo wa harmonize am single again unapigwa kwa club)
Endeleeni kuteseka mpakq kiama tushasema ndoa na kuoa vyote ni upumbavu mtupu na ni hasarq kubwa kwa jamii na taifa
 
Nyie wenyewe mnawaendekeza, mwanamke aki misbehave una punish, aki behave una reward, mbona the rule is so simple. Shida yenu wengi kujiamini sifuri. Wenzio wananata na beat, ukiwa nyoronyoro fresh ukiwa strong fresh. They're flexible but they like big balls.
 
Sasa mkeo anakupangiaje kutoka mkuu, vijana mnaishi na wanawake kisasa sana
 
Back
Top Bottom