Kuna wanawake ukiwatongoza wanakaa kimya tu. Kwanini wasijibu Ndiyo au Hapana?

Kuna wanawake ukiwatongoza wanakaa kimya tu. Kwanini wasijibu Ndiyo au Hapana?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuna wanawake ukiwaomba gegedo wanakaa kimya tu, kwa nini asijibu NDIYO au HAPANA?

Silence means YES or NO unabaki huelewi.
Labda anatengeneza mazingira aendelee kukuchuna? Labda bado hajafanya maamuzi? Kwanini sasa asiweke wazi yote hayo.

Talking from my experience. Nikimtumia sms tu kumuomba gegedo anakaa kimya. Nikimpigia simu akihisi nataka kuomba, ananiambia baadae. Nikimuuliza mambo mengine anajibu. Sometimes nafuta namba yake zikipita siku mbili tatu ananitafuta.

Nabaki najiuliza huyu manzi anataka nini. Mimi siwezi unafiki na dada na kaka sijui best friend.
 
Too low for you to post such a stupid thread.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
It is too low for you to consider everything seriously . This is merely a social media, we cant devote all time talking of politics and economic issues.

That's JF Owners segment various modules to suit all matters.

So, you and your post, you are all stupid as you want me to discuss Katiba issues in MMU
 
Anakuweka akiba huyo. Hataki kukukatalia moja kwa moja maana anajua una ka umuhimu kako kwake ila sio kakubwa kiasi cha kukupa mbwinya kiholela.

So you need to up your game. Kutoka kutuma msg za kuomba papa mpaka kutuma msg za miamala. Hapo utajibiwa kwa vitendo kwa kuletewa mzigo mlangoni kwako.
 
Hana hisia nawe..kausha..tunajibugi tukishapigwa na vitu vizito huku tuliponahisia napo Sasa..😊
 
Huyo anataka hela zako ila wewe hakutaki.. shtuka boya wewe.
 
Back
Top Bottom