Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
My friend 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My friend 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo anataka hela zako ila wewe hakutaki.. shtuka boya wewe.
Huu ushauri ni mzuri.Huyo sio kwamba hakupendi ila kuna vitu vinampa mashaka
Kwanza Umri wake ni mdogo au anachukulia mahusiano serious na wakati wewe ni mpitaji
Kama unausafiri(gari) mchukue kwa mazungumzo then moeleke sehemu iliyotulia halafu test, ukiona ana respond chukua chumba maliza ila kama akizingua basi ndio itakuwa mwisho wa kupigwa mizinga
Mtimbie usiku kama mlinzi wa Warere alivyomtimbia ZainabuKuna wanawake ukiwaomba gegedo wanakaa kimya tu, kwa nini asijibu NDIYO au HAPANA?
Silence means YES or NO unabaki huelewi.
Labda anatengeneza mazingira aendelee kukuchuna? Labda bado hajafanya maamuzi? Kwanini sasa asiweke wazi yote hayo.
Talking from my experience. Nikimtumia sms tu kumuomba gegedo anakaa kimya. Nikimpigia simu akihisi nataka kuomba, ananiambia baadae. Nikimuuliza mambo mengine anajibu. Sometimes nafuta namba yake zikipita siku mbili tatu ananitafuta.
Nabaki najiuliza huyu manzi anataka nini. Mimi siwezi unafiki na dada na kaka sijui best friend.
[emoji23][emoji23][emoji23] umeiandika kikamanda sana!Anakuweka akiba huyo. Hataki kukukatalia moja kwa moja maana anajua una ka umuhimu kako kwake ila sio kakubwa kiasi cha kukupa mbwinya kiholela.
So you need to up your game. Kutoka kutuma msg za kuomba papa mpaka kutuma msg za miamala. Hapo utajibiwa kwa vitendo kwa kuletewa mzigo mlangoni kwako.
Tulishakubaliana, usipomwelewa mpenzi wako, mgawie mwinzio.Kuna wanawake ukiwaomba gegedo wanakaa kimya tu, kwa nini asijibu NDIYO au HAPANA?
Silence means YES or NO unabaki huelewi.
Labda anatengeneza mazingira aendelee kukuchuna? Labda bado hajafanya maamuzi? Kwanini sasa asiweke wazi yote hayo.
Talking from my experience. Nikimtumia sms tu kumuomba gegedo anakaa kimya. Nikimpigia simu akihisi nataka kuomba, ananiambia baadae. Nikimuuliza mambo mengine anajibu. Sometimes nafuta namba yake zikipita siku mbili tatu ananitafuta.
Nabaki najiuliza huyu manzi anataka nini. Mimi siwezi unafiki na dada na kaka sijui best friend.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]It is too low for you to consider everything seriously . This is merely a social media, we cant devote all time talking of politics and economic issues.
That's JF Owners segment various modules to suit all matters.
So, you and your post, you are all stupid as you want me to discuss Katiba issues in MMU
JF haiishi vituko vyake [emoji23][emoji23][emoji23]Anakuweka akiba huyo. Hataki kukukatalia moja kwa moja maana anajua una ka umuhimu kako kwake ila sio kakubwa kiasi cha kukupa mbwinya kiholela.
So you need to up your game. Kutoka kutuma msg za kuomba papa mpaka kutuma msg za miamala. Hapo utajibiwa kwa vitendo kwa kuletewa mzigo mlangoni kwako.
achana nao,nani anawapa mamlaka ya kukupangia vya kupost?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nikileta nyuzi za mapenzi za chai wananisakama hivihivi!
Uzi haufungwiii majibu bado hayatoshelezi bhanaaBila shaka umeshapata majibu kutoka kwa walengwa! Uzi ufungwe! Pia nami nimejifunza kitu!!
Nlitaka kuandika hivi, sema kwa kiswahili.Too low for you to post such a stupid thread.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app