Kuna wanawake ukiwatongoza wanakaa kimya tu. Kwanini wasijibu Ndiyo au Hapana?

Huyo sio kwamba hakupendi ila kuna vitu vinampa mashaka
Kwanza Umri wake ni mdogo au anachukulia mahusiano serious na wakati wewe ni mpitaji
Kama unausafiri(gari) mchukue kwa mazungumzo then moeleke sehemu iliyotulia halafu test, ukiona ana respond chukua chumba maliza ila kama akizingua basi ndio itakuwa mwisho wa kupigwa mizinga
 
Huu ushauri ni mzuri.

Binafsi mambo ya kuomba mzigo nilishaacha miaka mingi sana. Nikishachati na demu siku 2-3 kifuatacho ni outing. Tena siombi, namwambia tu "jioni nataka nikale samaki choma, nikupitie..?" Asilimia 90 lazma atakubali unless kuwe na tatizo au awe hayuko interested. Akishakubali hapo mengine ni kujiongeza tuu mwisho wa siku mzigo huu hapa.
 
Mtimbie usiku kama mlinzi wa Warere alivyomtimbia Zainabu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umeiandika kikamanda sana!
 
Tulishakubaliana, usipomwelewa mpenzi wako, mgawie mwinzio.

Nigawie mimi nikutafutie majibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nikileta nyuzi za mapenzi za chai wananisakama hivihivi!
 
JF haiishi vituko vyake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila shaka umeshapata majibu kutoka kwa walengwa! Uzi ufungwe! Pia nami nimejifunza kitu!!
 
Hajajua akuweke fungu lipi


Kiufupi swaga zako bado zinamfanya asite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…