Kuna wanawake wa aina hii tena miaka hii...?

Inategemea Kama mekukosea ntaomba msamaha.....tupo wengi tu mbona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hizo picha kwanini zimefanana na waumini wa
 
Not only pesa ni kuwa na bisara tu kwa mtu mwenyewe
 
Binadamu yeyote muungwana anajua kusema samahani. Ila mimi hapo ningeuliza kwanza kosa la kuchapwa ni lipi?[emoji85]
 
Binadamu yeyote muungwana anajua kusema samahani. Ila mimi hapo ningeuliza kwanza kosa la kuchapwa ni lipi?[emoji85]
Mpaka anakili kuwa nimekosea nisamehe maana ake kajua kosa. Usijitoe ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…