Kuna wanawake wa aina hii tena miaka hii...?

Kuna wanawake wa aina hii tena miaka hii...?

Kama yupo mdada wa kariba ya hivyo kuja hapa ndoa bil masharti yoyote you have to be a Christian...!

Angalizo sina Pesa...![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Weee, usiseme hivyo mie dadako nina adabu debe!!!
Haya dogo, kama ni kweli idumishe adabu kwa mumeo siokujifanya hapa wewe ni mwenye adabu halafu ukirudi nymbani mnakunjana koo
 
Mi nitakwambia live uchague mwenyewe. Kufeki feki sina i go straight to the point.
All in all hizi ndoa zetu tuweke maombi sana, binadamu tuna mapungufu mengi, ili tuishi kwa kupendana na kuheshimiana Mungu lazima awe kimbilio letu sio wakina sangoma
 
Back
Top Bottom