Kuna wanawake wana bahati na nyota ya pesa

Kuna wanawake wana bahati na nyota ya pesa

we jamaa ni mzembe sana, kama umekutana nae ukapiga mamilioni na tena na tena halafu bado hadi leo hujafanya lolote la msingi kuweza kusimama mwenyewe wewe nimzembe sanaa..tena ushajua jitu lenye ni mauzauza tu, bado kuna unachokitaka huko endlea kumtafuta
 
Utapigwa risasi bwege wewe, hujui siri za matajiri, wako serious na pesa.
 
Habari wapendwa,

Kuna wanawake wana bahati (nyota) za pesa jamani, kuna binti mmoja ninapokuwaga nina matatizo ya aina yoyote hasa ya kipesa humtafuta binti huyo kwa udi na uvumba nikutanapo nae tu kama ilikuwa usiku nasubiri kukuche tu lazima nipate pesa kwa njia za ajabu sana.

Cha kushangaza sina mapenzi nae kabisa humtafuta ninapobanwa na maisha, yule binti ni kama ana matatizo flani ya akili yaliyotokana na kifafa kinachomsumbua sana ambacho redio vijiweni wanasema wazazi wake ndio waliompa ili kulinda mali maana familia yao iko njema.

Nina miaka nae zaidi 20 lakini sijawahi kumuwazia wala kuwa katika akili yangu kwamba naweza kukaa nae kwangu hata wiki, ni mzuri kwa umbo mpaka sura ila sijui kwanini hayumo moyoni kufikia kilele tu inabidi huwa niwaze mbali sana
vinginevyo ni maumivu tu kwake.

Mimi ndo niliyemfyatua usichana miaka hiyo kupitia msichana wao wa kazi aliyeniunganisha nae maana kutwa kucha weekend walikuwa wako benet maana alikuwaga mteja wangu katika genge langu la mchele.

Kwa mazingira anayoishi na anavyochungwa mimi ndo ibilisi pekee niliyetupia na ninaendelea kutupia na siku nitumiapo nguvu nyingi mpaka nakutanae kimwili cha kushangaza wazazi wake wanajua hata kama wako safari.

Hii hunishangaza sana kama vile wamemuwekea (micro chip) na mwezi huo kwangu unakuwa mgumu nitatafutwa mjini kama jambazi lakini wakati huo napata pesa kwa njia za ajabu sana ni mamilioni hasa.

Mpaka niyumbe kuna miezi sita saba mbele kwao kunakuwa kumetulia, nikiyumba tena kidogo mambo hivyo hivyo walau kama ningekuwa nakutanae angalau hata mara tatu au mara 4 nahisi ningekuwa bilionea wakati mwingine huwa nahisi huyu binti ni jini binadamu.

Nifanyeje wana JF wenzangu maana saa hizi utawala wa jiwe nimeyumba sana najitahidi kukutana nae kwa kila mbinu mara nisikie wamempeleka Nairobi mara South yapata miezi tisa sasa wanamficha nisiweze kumpata, nahisi nikikutanae huwa wanayumba kwenye mambo yao kwa maana tunagawana.
Naomba namba zake
 
nenda Nairobi na huko South ukamtafute, yaani mamilioni unatumia ndani ya miezi 6 yameisha? wakati mwingine kumbuka kuwa utamu wa pipi ni mate yako
hivi ile thread yako ya k***mba majini iliishia wapi mkuu?
 
Mwanangu anza kufanya mazoezi ya kuishi kama msukule ili ukipelekwa una na uzoefu toka uraiani
 
Naomba nichangie kufuatana na heading zaidi... Kuna ukweli mwingi kwenye kichwa cha habari ila iko hivi
Hao wanawake hawana bahati ya kuolewa ama kupata wapenzi wenye mapenzi ya kweli.. Wao huishia kutumika tu..
Kila mwanaume anayempata, mambo huwa safi kwa mwanaume hata wengine kufikia kujenga nyumba na kufanya uwekezaji
Tatizo huanza kwa mwanaume kuanza dharau na kuwa malaya sana.... Binti wa watu huishia kulia na Maumivu kisha baada ya muda hupata mwingine na kuanza upya
Huyu mwanaume haimchukui muda kugundua kuwa kapoteza mgodi hivyo hutaka kumtafuta tena mwanamke ila si kimapenzi bali kumtumia tu ili mambo yanyooke
Nina mifano hai mpaka hapa JF
 
tufungue kuhusu yajiriyo kwa mleta mada...halafu huyu mleta mada hii avatar anayotumia ni ya nani? sio Jesca kweli huyu? Tumsifu yesu kristu
Mungu wangu ndio yeye J aisee....vitu vingine sio vya ku entertain
 
Ulipata mamilioni halafu ukaendelea kuuza genge,,,,,,


Waache wenye akili za uwekezaji wapewe hiyo bahati pia.

 
Una zaidi ya miaka 20 nae? Ina maana mlianza tombana na miaka mingap? Au jamaa u babu
 
ipo siku watakufungia kwenye chumba kisicho funguliwa na kulishwa unga uliokorogwa kwenye maji kila siku ndipo utamkumbuka mshana jr angekuepo kukupa mautundu ya kujitoa humo na itakua toooooooo leeeetiii

Wasiojulikana 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom