Sometimes hayo mambo ni ya kweli lakini upambanaji nao huchangia mafanikio! Wengine pia husema hata uzao wa watoto una baraka zake. Kua jirani yangu ameprove hili, tangu mtoto wa kwanza hadi wa 3, mambo yalikuwa hovyo sana kifamilia na hata kiuchumi, Nduguze walimtenga mkewe , walikuwa hawakannyagi kwake, Lakini tangia alivyozaliwa mtoto wa 4 fursa nyingi zimefunguka a hata nduguze walianza kuja yumbani kuwatembelea!
Hata hivyo Mungu ni wa kumtanguliza sana katika yote kwani mengine huwa ni majaribu!