Hahaha walishakupiga nini?Amini usiamini, jaribu kuoa demu wa bongo movie uone maisha yako yatakuwaje kama si kukimbiwa na watu kila kukicha wakikuona ni mtu wa mikosi. Ndiyo maana wanawake wengine ni wa kuchapa tu na kuaacha haswa hawa wanawake wa mjini wasio na shughuli kazi kudanga tu kutafuta waume za watu na kuwaroga.
Utabaki kulialia kama HamonaizaUnashangaa au, ebu jaribu kuoa mdangaji, demu yeyote wa bongo movie, supa staa uchwara wa kibongo uone utakavyojuta kuzaliwa.
Ni swala la Muda tu. Hatumeombei mabaya lakini.Hamna kuna mwanamke alisemwa vibaya kama Elizabeth Michael Lulu kwamba kila mwanaume anaekuwa nae atakufa refer to Kanumba, yule wa kuangukia meza ya kioo nimemsahau, na mambo kama hayo mbona Majjizoo yupo na ndoa kafunga na mimba juu?
Asante kwa kufafanua zaidi6th sense
Hapana ila nimeshuhudia hili tukio toka ka wenzanguHahaha walishakupiga nini?
Nilie nini sasa?Utabaki kulialia kama Hamonaiza
SidhaniAliyefanikiwa baada ya kuoa huenda mwanamke kamuonyesha mwanaume jinsi ya kutumia jicho la tatu katika kusaka mafanikio. Hata hivyo ujasiri wa mwanaume unahitajika.
ONE MANS' FOOD ANOTHER MAN'S POISONHamna kuna mwanamke alisemwa vibaya kama Elizabeth Michael Lulu kwamba kila mwanaume anaekuwa nae atakufa refer to Kanumba, yule wa kuangukia meza ya kioo nimemsahau, na mambo kama hayo mbona Majjizoo yupo na ndoa kafunga na mimba juu?