Kuna wanawake wana temperature jamani!

Kuna wanawake wana temperature jamani!

Na quote tu "Kumbe ndiye yule alokuja mnong'oneza shemu kitu" kwamba alivyokuja kumnong'oneza na alivyorudi ulikuwa ushamsahau

chai chai chai
 
Hahahahaaaa! Chai imekolea hasa Tangawizi .
na quote tu "Kumbe ndiye yule alokuja mnong'oneza shemu kitu" kwamba alivyokuja kumnong'oneza na alivyorudi ulikuwa ushamsahau

chai chai chai
 
Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika.
Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona niende buza kwa lulenge kumtembelea kaka(mtoto wa baba yangu mdogo).Nilipofika kwa kaka tukawa katika maongezi,mara akaja binti mmoja akamnong'oneza kitu shemej
Shakira aolewe narudia tena aolewe
 
Back
Top Bottom