Kuna wanawake wana temperature jamani!

Hadithi yako inatufundisha nini...
 
Jiandae na jela tu
 
mkuu wangu nashukuru nimekupata vema Aisee daaa ile hayo maneno uliyotaja ukiunganisha unapata.................
😂😂😂😂😂😂😂
 
Huwezi tembea na wanawake 2000 wewe dogo. Acha hizo. Sema labda ulikuwa unamaanisha 200
 
Mjini tanga kuna nyumba mbiliii...
Nyumba ya kwanza ya Mama sharifaa...
Mama sharifa ni mtu mwema sana kila apitayee bwanaa karibu tuleeee...
 
Ulipoandika ana "temperature" ulimaanisha nini?Hivi ungetulia tu usieleze hii pukunusi yako ungekufa?Hizi stori muwe mnapiga na jamaa zako kijiweni.Hopeless!
 
Kwa hiyo haponi tu! manake kila nikikutana naye hali ni ilele tangu 2014
UNA BAHATI WW INGEKUA 2020 NINGECOMMENT HUYO ALIKUA KATOKA KUJIFUKIZA MUDA HUO, BAHATI YAKO KWA KUA BADO UNAPUMUA NA VILE HUKUA HATA NA BARAKOA LOL MCHINA UNGEMUITA MSOMALI KUDAAADEEKI [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Sisi wengine ma senior single tuna comment wapi maana naona niliandaliwa kuwa padri
 
Muda mwingine upime na thermometer tujue ni centigrade ngapi sije akawa kavunja rekodi ya Dunia, aingie kwenye kitabu Cha Guiness.
 
Shakira apewe ulinzi popote alipo.. 🔥🔥🔥
 
We jamaaa bana huuzi ulilenga kuwashitulia ndudu zao mabachela tu huna lolote
Hapana mkuu! hushangai kati ya wengi nimtaje shakira? mtoto balaa huyu,yaani usipokuwa makini mwanaume unaweza ukawa unapiga mayowe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…