Maajabu haya.. Nimejikuta nasoma comments zote mpaka page ya saba.. Ila naweza kusema kitu kimoja.. Kwa mwanaume yoyote aliyeutendea haki uanaume wake lazima atabakiwa na records.. Zinaweza kuwa mbaya au nzuri.. Kuna anayeongoza kwa kuwa na bwawa, yupo anayeongoza kwa tight machine, yupo aliyewashinda wengine kuzungusha nyonga, na mwingine ukimkumbuka unaweza kudhani ulikuwa unashughulikia gogo la mfenesi, wapo wenye joto bila kusahau wa baridi kama mdau mmoja alivyowafananisha na panga lililolala nje, wapo wenye kikwapa, wapo wasafi wa kupitiliza, wapo wanaojua kubembeleza mume, wapo pia wale wanaokukaripia wakati upo kazini basi ndio raha ya tendo hiyo.. Kila unaposhiriki na mtu kuna historia anayoiacha.. Kikubwa vijana mkumbuke kuwa mwanaume halisi ni yule anayeweza kuingoza dudu yake inapokuwa imesimama.. Msisahau kuwa kirefu cha kiungo kinachotusumbua ni Kifo, Umaskini, Maradhi, Aibu.. Kama hujakielewa hicho kiungo basi unganisha herufi ya kwanza toka katika kila neno kati ya maneno hayo manne..