Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

Habari,

Hii ni kauli nimeipata kwa mwanake zaidi ya mmoja wakisema kuna wananaume wanaweza kupiga kimoja kikakwa zaidi ya vitatu yunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
Wako sahihi, Wingi wa Idadi ya bao unazopiga, sio Guarantee ya Mwanamke kufika kileleni.
Mfano.. Unatumia Dakika tano-kumi Tena bila kumuandaa, ,hapa hata upige bao Sita ni Bure.

Ila Upige Bao Moja , la Dakika kuanzia 40 mpaka saa na dakika zake .

Oyaaaa, siku hiyo hata kuamka anaamkaa saa Tano Asubuhi, na kama ni wakuwah kazin atashinda ni kulala lala usingizi .


Kwaufupi, , Watombeni Wake zenu kiasi kwamba ukimtomba Leo, atakaa wiki mbili bila kua na hamu
 
Wanataka msuguano wa muda mrefu na uwe consistent .....wacheza vikoba ndo atakojoa
Vinginevyo ukipiga intermittent bila muendelezo ndo wanasema ile una enjoy mwenyewe tu (goli nyingi)

Kumbuka :mwanamke anaweza kwenda orgasm zaidi ya mara moja kama mwanaume ataendelea na game bila kusimama(Zingatia neno kusimama) na akafika hata mara 5 -6 huko..etc

Tofauti na mwanaume sexual intercoatse yake inafuata sequence ya
1.Excitement
2.Plateu
3.Orgasm
4.Resolution (unaroused state) then inaanza no 1 to 4 again
Cycle ina depend na age.

Sasa kwa mwanamke anaweza kufika Orgasm akaishia hapo akarudi no 1,2 hadi 3 .Akarudia mara nyingi bila kufika resolution kutokana na stamina ya mwanaume.

Source :Google
 
wanawake wanapenda:
1.uwe na game plan
2.uwe na bashrafu nzuri
3.content ya plan iwe imeshiba
4.utendaji uwe mzuri na makini
5.umaliziaji uwe intense
Kitu cha muhimu ni mwanamke kumwamini na kumpenda mwanamme. Utafanya ufundi wote lakini kama mwanamke hakupendi huwezi kumridhisha. Unaweza kabisa kupiga kimoja na mkaridhika mwingine akatumia muda mrefu lakini akaonekana kama ni kero tu...
 
Kitu cha muhimu ni mwanamke kumwamini na kumpenda mwanamme. Utafanya ufundi wote lakini kama mwanamke hakupendi huwezi kumridhisha. Unaweza kabisa kupiga kimoja na mkaridhika mwingine akatumia muda mrefu lakini akaonekana kama ni kero tu...
Plan yangu hiyo ni kwa watu wanaopendana,bila mapenzi hata ufanye nini hakuna faida
 
Back
Top Bottom