Kuna wanawake wanapenda vibaya jamani

Hakuna dhambi mbaya na itakayokusumbua maishani na kukuletea mikosi ya kila aina na majuto kama ya kulala na mke wa mtu. Ile tu kusita kwako ina maana Mungu Anakuonya. Ikimbie hiyo dhambi mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Daaah aisee mkuu mimi kuna mmoja nimempiga chini sababu roho yangu ina sita sita sana...
 
Hakutafutii balaa wala nini, we kula tu.

Japo naskiaga majuto ni mjukuu..!
 
We mto.mbe tu ila hakikisha umejiandaa kufukuliwa tope kimasihara...Siku jamaa ataposanukia unamfanya anakoseshwa haki yake ya ndoa kisa wewe 🤣🤣🤣
 
Ninafanya fujo nyingi ila mke wa mtu hapana. Tena mko sehemu moja! Huoni kinyaa mkuu..??? Unamla na mate!?
 
Huku dodoma mimi ndo nawapanga tu aisee alafu kama hujagundua vile vipete vyao vipya
Vinaletaga mzuka balaa yan yan unawafanya unavyotaka ww na mambo yetu yale yan ni wepesi balaa aisee mi ndo maana sitaki kukaa mbali na mkewangu aisee
 
Acha kutuangusha mabaharia ww.. Mtafune fasta tena mtie mimba kabisa. Mkuu nasubiri mrejesho mwishoni mwa wiki ijayo. Acha kuendekeza uzembe.
 
Hakuna dhambi mbaya na itakayokusumbua maishani na kukuletea mikosi ya kila aina na majuto kama ya kulala na mke wa mtu. Ile tu kusita kwako ina maana Mungu Anakuonya. Ikimbie hiyo dhambi mkuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu kugongeana kulikuwepo toka zaman sana.
Tambua kuwa hata ukiogopa kugonga mke Wa mtu lakn mkeo watamla tu.
Akijilengesha kula kichwa
 
Ninafanya fujo nyingi ila mke wa mtu hapana. Tena mko sehemu moja! Huoni kinyaa mkuu..??? Unamla na mate!?
Mkuu .kufikia level za kula wake za watu yaan ..ile ametoka lala na bwana wake asubuh nawee unakula mate vilevile ni level moja ya juu sana ya ubaharia..lazima uwe umechezea sana nyuchi nying mno
 
Mkuu .kufikia level za kula wake za watu yaan ..ile ametoka lala na bwana wake asubuh nawee unakula mate vilevile ni level moja ya juu sana ya ubaharia..lazima uwe umechezea sana nyuchi nying mno
Nashukuru umenielewa...

Kinyaaa...
 
Una matatizo wewe...kumbuka malipo ni hapa hapa duniani..ukifanya ubaya utakurudia tu hapa hapa duniani...huyo mwanamke ni shetsni achana naye haraka before it is too late .mark my words...
 
huu ujasiri wa kuchekeana na wake za watu mnautoa wapi?
 
Hahaha wee jamaa n level za kina zero iq

Boss acha mazoea na huyo manzi bora akuone mbaya ila ukairithi mbingu, hao watu wanatumia sana hisia ww z ignore hzio hisia hadi akusahau

@BlackLivesMatter
 
Attachments

  • IMG-20250128-WA0054.jpg
    142.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…